Billy Hughes
From Wikipedia
William Morris "Billy" Hughes CH PC KC (25 Septemba, 1862 – 28 Oktoba, 1952) alikuwa mwanasiasa wa Australia. Alikuwa mbunge wa muda mrefu kabisa katika historia ya Australia, na pia alikuwa Waziri Mkuu kuanzia mwaka wa 1915 hadi 1923.