Praia (Cabo Verde)
From Wikipedia
Praia ni mji mkuu wa jamhuri ya Cabo Verde iko kisiwani Santiago.
Praia ina wakazi mnamo 70,000 ni mji mkubwa kabisa pamoja na kuwa kitovu cha kiuchumi cha nchi.
Biasharanje inapita katika bandari ya Praia ni hasa kahawa, miwa na matunda. Kuna kiwanja cha ndege cha kimataifa.