Saint-John Perse
From Wikipedia
Saint-John Perse (31 Mei, 1887 – 20 Septemba, 1975) alikuwa mwandishi na mwanasiasa kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Marie-René-Auguste-Aléxis Saint-Léger Léger. Hasa aliandika mashairi. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.