Unguja
From Wikipedia
Unguja ni kisiwa kikubwa katika Bahari Hindi karibu na mwambao wa Afrika ya Mashariki karibu na Daressalaam. Unguja ni kisiwa kikuu cha Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania.
Unguja ina eneo la takriban 1.658 kmĀ² ikiwa na wakazi 460 000. Mji Mkuu ni Jiji la Zanzibar kwenye pwani la magharibi la kutazama bara.
Kisiwani Unguja kuna mikoa mitatu ya mikoa 26 ya Tanzania ambazo ni Unguja Kaskazini, Unguja Kusini na Unguja Mjini Magharibi.
[edit] Viungo vya nje
|
|
---|---|
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Iringa | Kagera | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Singida | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi | |
Makala hiyo kuhusu "Unguja" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Unguja kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |