Kinshasa
From Wikipedia
Kinshasa ni mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo iliyoitwa kwa jina la "Leopoldville" hadi 1966. Iko kando la mto Kongo ikitazama mji wa Brazzaville iliyoko ng'ambo ya mto.
Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa 7,787,832 (mwaka 2005), pamoja na maeneo ya kando 9,122,077. Hivyo ni mji kubwa wa tatu katika Afrika baada ya Lagos na Kairo.
Mji uliundwa mwaka 1881 na Henry Morton Stanley.
|
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Source: Populstat, World Gazetteer |
Makala hiyo kuhusu "Kinshasa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kinshasa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |