Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
From Wikipedia
|
|||||
Wito la taifa: Justice - Paix - Travail (Kifaransa: "Haki - Amani - Kazi") |
|||||
Wimbo wa taifa: Debout Congolais | |||||
Mji mkuu | Kinshasa |
||||
Mji mkubwa kushinda miji mingine yote |
Kinshasa | ||||
Lugha rasmi | Kifaransa (Kilingala, Kikongo, Kiswahili, Kitshiluba ni lugha ya taifa) | ||||
Serikali
• Rais
|
Serikali ya mseto Joseph Kabila |
||||
Uhuru - Tarehe |
Kutoka Belgium Juni 30, 1960 |
||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
2,345,410 km² (12th) 3.3% |
||||
Idadi ya watu - 2006 kadiriwa - 1938 census - Msongamano wa watu |
62,660,551 (20th) 10,217,408 24/km² (182nd) |
||||
Fedha | Congolese franc (CDF ) |
||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET, EET (UTC+1 na +2) - (UTC+1 na +2) |
||||
Intaneti TLD | .cd | ||||
Kodi ya simu | +243 |
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au Kongo-Kinshasa) ni nchi kubwa ya tatu Afrika iliyoko Afrika ya Kati.
Imepakana na Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudan, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, Zambia na Angola. Ina sehemu ndogo iliyopakana na pwani na Bahari ya Atlantiki. Sehemu hii inatenganisha eneo la Angola la Cabinda kutoka maeneo mengine ya Jamhuri ya Angola.
[edit] Majimbo
Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ina majimbo au mikoa kumi na moja. Katiba mpya ya mwaka 2005 ilipanga mgawanyo mpya katika mikoa 26 inayotakiwa kuundwa kufikia mwaka 2008.
Kwa sasa mikoa ni ifuatayo:
1.Bandundu
2.Bas-Congo
3.Équateur
4.Kasaï-Occidental
5.Kasaï-Oriental
6.Katanga
7.Kinshasa
8.Maniema
9.Nord-Kivu
10.Orientale
11.Sud-Kivu
Mikoa mipya ya Kongo iliyopangwa kuweko kuanzia mwaka 2008 | |||
---|---|---|---|
Jimbo | Mji mkuu | Lugha rasmi | |
1. | Kinshasa | Kinshasa | kifaransa, kituba, lingala |
2. | Kongo ya Kati | Matadi | kituba |
3. | Kwango | Kenge | kituba |
4. | Kwilu | Kikwit | kituba |
5. | Mai-Ndombe | Inongo | lingala |
6. | Kasai | Luebo | kiluba |
7. | Lulua | Kananga | kiluba |
8. | Kasai ya mashariki | Mbuji-Mayi | kiluba |
9. | Lomami | Kabinda | kiluba |
10. | Sankuru | Lodja | kiluba |
11. | Maniema | Kindu | kiswahili |
12. | Kivu ya kusini | Bukavu | kiswahili |
13. | Kivu ya kaskazini | Goma | kiswahili |
14. | Ituri | Bunia | kiswahili |
15. | Wele ya juu | Isiro | lingala |
16. | Chopo | Kisangani | kiswahili |
17. | Wele ya chini | Buta | lingala |
18. | Ubangi ya kaskazini | Gbadolite | lingala |
19. | Mongala | Lisala | lingala |
20. | Ubangi ya kusini | Gemena | lingala |
21. | Ekwatori | Mbandaka | lingala |
22. | Chwapa | Boende | lingala |
23. | Tanganyika | Kalemie | kiswahili |
24. | Lomami ya juu | Kamina | kiluba |
25. | Lualaba | Kolwezi | kiswahili |
26. | Katanga ya juu | Lubumbashi | kiswahili |
[edit] Viungo vya nje
- Uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia baada ya miongo minne
- Habari za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo toka BBC
Nchi za Afrika | |
---|---|
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad |Cote d'Ivoire | Djibouti | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia |